الحديث السابع والثلاثون
“إن الله كتب الحسنات والسيئات”
عَن ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا عَنِ النبي صلى الله عليه وسلم فِيْمَا يَرْوِيْهِ عَنْ رَبِّهِ تَبَارَكَ وَتَعَالى أَنَّهُ قَالَ
إِنَّ الله كَتَبَ الحَسَنَاتِ وَالسَّيئَاتِ ثُمَّ بَيَّنَ ذَلِكَ؛ فَمَنْ هَمَّ بِحَسَنَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ عَشْرَ حَسَنَاتٍ إِلَى سَبْعِمائَةِ ضِعْفٍ إِلىَ أَضْعَاف كَثِيْرَةٍ. وَإِنْ هَمَّ بِسَيِّئَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً، وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ سَيِّئَةً وَاحِدَةً
رَوَاهُ البُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ في صَحِيْحَيْهِمَا بِهَذِهِ الحُرُوْفِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 37
ALLAAH KAVIANDIKA VITENDO VYEMA NA VIOVU
Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yake kapokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema kutokana na yale aliyoyapokea kutoka kwa Mola wake Aliyetukuka, kwamba Kasema: [Hakika Allaah Ameviandika vitendo vyema na viovu, kasha Akavibainisha. Basi atakayeazimia kufanya tendo jema kisha asiweze kulifanya, basi Allaah Atamwandikia ujira wa tendo jema lililokamika. Na ikiwa aliazimia kulifanya kisha akalifanya, basi Allaah Atamwandikia (Atam lipa) ujira mara kumi hadi mara mia saba na zaidi ya idadi hiyo.
Na atakayeazimia kufanya tendo ovu kisha asilifanye, Allaah Atamwandikia (Atamlipa) ujira mmoja, na endapo atalifanya tendo]
[Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa herufi hizi]