November 24, 2024
0 Comments
باب الصدقة عن الميت والدعاء لَهُ
وعن أَبي هُرَيْرَةَ رَضيَ اللَّه عَنْهُ أنَّ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذَا مَاتَ الإنسَانُ انقطَعَ عمَلُهُ إلاَّ مِنْ ثَلاثٍ: صَدقَةٍ جاريَةٍ، أوْ عِلم يُنْتَفَعُ بِهِ، أَوْ وَلَدٍ صَالحٍ يَدعُو لَهُ ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Mwanadamu akifa, amali yake hukatika ila kwa mambo matatu: sadaka inayoendelea, au ilimu inayonufaisha, au mtoto mwema anayemuombea dua.” [ Imepokea na Muslim ].