0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

942. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuharakisha Jeneza.

باب الإِسراع بالجنازة


 وعن أَبي سعيدٍ الخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنه قَالَ. كَانَ النَّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ: “إِذَا وُضِعَتِ الجِنَازَةُ، فَاحْتَملَهَا الرِّجَالُ عَلى أَعنَاقِهِمْ، فَإنْ كَانتْ صَالحةً، قالتْ: قَدِّمُوني، وَإنْ كَانَتْ غَيْرَ صَالِحَةٍ، قَالَتْ لأهْلِهَا: يَاوَيْلَهَا أَيْنَ تَذْهَبُونَ بِهَا، يَسْمَعُ صَوْتَهَا كُلُّ شَيْءٍ إلاَّ الإنسانَ، وَلَوْ سَمِعَ الإنْسَانُ، لَصَعِقَ ”         رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



158. MLANGO WA KUHARAKISHA JENEZA


Imepokewa na Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume ﷺ alikuwa akisema: “Jeneza linapowekwa na watu wakalibeba juu ya shingo zao, ikiwa yule aliekufa ni mtu mwema, atasema: “Nipelekeni!” Na akiwa si mtu mwema, atawaambia waliolibeba: “Ole wangu! Mwanipeleka wapi?” Kila kitu kitasikia sauti yake ispokuwa mwanadamu, na lau mwanadamu angaliisikia, angalipotewa na fahamu (kutokana na sauti yake jinsi ilivyo kali kwa sababu ya adhabu anayoiyona).”   [ Imepokewa na Bukhari ].


Begin typing your search above and press return to search.