0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

934. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunnah ya wanaoswalia Jeneza kuwa wengi na Safu zao kuzifanya ziwe tatu na kuendelea

باب استحباب تكثير المصلين عَلَى الجنازة وجعل صفوفهم ثلاثة فأكثر


وعن مَرْثَدِ بن عبدِ اللَّه اليَزَنِيِّ قَالَ: كانَ مالكُ بنُ هُبَيْرَةَ رضي اللَّه عنه إِذا صلَّى عَلى الجنَازَةِ، فَتَقَالَّ النَّاسَ عَليها، جزَّأَهُمْ عَلَيْهَا ثَلاثَةَ أَجْزَاءٍ ثُمَّ قَالَ: قالَ رَسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَنْ صَلَّى عليهِ ثَلاثَةُ صُفُوف، فَقَدْ أَوْجَبَ”.    رواه أَبُو داود، والترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



156. MLANGO WA SUNNAH YA WANAOSWALIA JENEZA KUWA WENGI NA SAFU ZAO KUZIFANYA ZIWE TATU NA KUENDELEA


Imepokewa na Marthad bin ‘Abdullâh al-Yazany amesimulia: “Mâlik bin Hubairah (Radhi za Allah ziwe juu yake) alikuwa anapotaka kuswalia jeneza na akaona watu kuwa ni wachache, huwapanga safu tatu, na husema: “Mtume ﷺ amesema: “Anayeswaliwa na safu tatu, ameshapasa kuingia Peponi.”   [ Imepokea na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.