0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

926. Riyadhu Swalihina Mlango wa kufaa kumlilia Maiti na uharamu wa kuomboleza

 باب جواز البكاء عَلَى الميت بغير ندب وَلاَ نياحة أمَّا النِّيَاحَةُ فَحَرَامٌ


وعن أُسَامة بنِ زَيْدٍ رضي اللَّه عنهما أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم رُفِعَ إِلَيهِ ابْنُ ابْنَتِهِ وَهُوَ فِي المَوْتِ، فَفَاضَتْ عَيْنا رسولِ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، فَقَالَ لَهُ سعدٌ: مَا هَذَا يَا رسولَ اللَّهِ؟، قَالَ: “هَذِهِ رحمةٌ جَعَلها اللَّهُ تَعالى في قلوبِ عبادِهِ، وَإِنما يَرْحَمُ اللَّهُ مِنْ عبَادِهِ الرُّحَمَاءَ”    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



153 – MLANGO WA KUFAA KUMLILIA MAITI NA UHARAMU WA KUOMBOLEZA


Imepokewa na Usâma bin Zaid (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia kuwa Mtume alipelekewa mtoto wa binti yake (mjukuu wake) naye yuko katika hali ya mauti, macho ya Mtume yakabubujikwa machozi. Sa’di akauliza: “Ni nini hii Yâ Rasûlallâh?” Akamwambia: “Hii ni rehma, Allâh Ameijaalia katika nyoyo za waja Wake. Hakika Allâh Huwarehemu wanaorehemu katika waja Wake.”    [ Wameafikiana na Bukhari na Muslim].


Begin typing your search above and press return to search.