0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

92. MLANGO WA UMAKINI NA UTULIVU

باب الوقار والسكينة


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَعِبَادُ الرَّحْمانِ الَّذِينَ يَمْشُونَ عَلَى الأرْضِ هَوْناً وَإِذَا خَاطَبَهُمُ الْجَاهِلُونَ قَالُوا سَلاَمَاً﴾ [ الفرقان: 63 ]


شرح مقدمة عن الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



92. MLANGO WA UMAKINI NA UTULIVU


Mwenyezi Mungu Amesema: “Na waja wa Arrahmân (Allâh Mwingi wa Rehema) ni wale wanaotembea ulimwenguni kwa staha, na wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama!” [25:63].


Begin typing your search above and press return to search.