0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

918. Riyadhu Swalihina Mlango wa kumlakinisha aliekaribiwa na Mauti kusema “Laailaha illallah”

باب تلقين المحتضر: لا إله إِلاَّ اللهُ


وعن أَبي سعيد الخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنهُ قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “لَقِّنُوا موْتَاكُمْ لاَ إِله إِلاَّ اللَّهُ”           رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



150. MLANGO WA KUMFUNDISHA ANAYEKARIBIWA NA MAUTI KUSEMA: LÂ ILÂHA ILLALLÂH


Imepokewwa na Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: ‘Mtume ﷺ amesema: “Wafundisheni watu wenu waliofikwa na mauti kusema: Lâ ilâha illallâh (Hakuna anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa ni Allâh).”   [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.