0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

916. Riyadhu Swalihina Mlango wa kufaa kwa mgonjwa kusema “Mimi na umwa” Au Nina maumivu makali”….

باب جواز قول المريض: أنَا وجع، أَوْ شديد الوجع أَوْ مَوْعُوكٌ أَوْ”وارأساه”ونحو ذلك وبيان أنَّه لا كراهة في ذلك إِذَا لَمْ يكن عَلَى سبيل التسخط وإظهار الجزع


وعن القاسم بن محمدٍ قَالَ: قالَتْ عائشَةُ رضي اللَّهُ عنها: وارأْسَاهُ. فَقَالَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم:” بلْ أَنَا وارأْسَاهُ “. وذكر الحديث.   رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



149. MLANGO WA KUFAA MGONJWA KUSEMA: “MIMI NAUMWA”, AU “NINA MAUMIVU MAKALI”, AU “NINA HOMA”, AU “OH! KICHWA CHANGU” NA MFANO WAKE, NA KUBAINISHA KUWA HAPANA MAKRUHU KATIKA JAMBO HILO IWAPO SI KWA SABABU YA KUDHIHIRISHA UCHUKIVU NA KUONYESHA BABAIKO


Imepokewwa na Al-Qâsim bin Muhammad amesimulia: “Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) siku moja alisema: “Oh kichwa changu!” Mtume ﷺ akasema: “Bali mimi ndio ninaefaa kusema Oh kichwa changu!”… akaeleza mpaka mwisho wa kisa.      [ Imepokewa Bukhari ]


Begin typing your search above and press return to search.