September 19, 2024
0 Comments
[باب مَا يُدعى به للمريض]
وعن ابن عباسٍ، رضي اللَّه عنه أَنَّ النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم دَخَل عَلَى أَعَرابيٍّ يَعُودُهُ، وَكانَ إِذَا دَخَلَ عَلى مَن يَعُودُهُ قَالَ: “لاَ بَأْس، طَهُورٌ إِن شَاء اللَّه” رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
145. MLANGO WA DUA ANAYOOMBEWA MGONJWA
Imepokewwa na ‘Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa Mtume ﷺ alikwenda kumzuru mbedui mmoja, na alikuwa anapoingia kwa (mgonjwa) anayemzuru, humwambia: “Hapana ubaya, umesafishwa Inshâ-allâh.” [ Imepokelewa na Bukhari ].