0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

88. MLANGO WA SUNNAH YA KUSEMA MANENO MAZURI NA KUWA NA USO WA BASHASHA WAKATI WA KUKUTANA NA MTU

 باب استحباب طيب الكلام وطلاقة الوَجه عند اللقاء


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَاخْفِضْ جَنَاحَكَ لِلْمُؤْمِنينَ﴾ [ الحجر: 88 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَلَوْ كُنْتَ فَظّاً غَلِيظَ القَلْبِ لانْفَضُّوا مِنْ حَوْلِكَ﴾ [ آل عمران: 159 ]


شرح مقدمة عن الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



88. MLANGO WA SUNNAH YA KUSEMA MANENO MAZURI NA KUWA NA USO WA BASHASHA WAKATI WA KUKUTANA NA MTU


Mwenyezi Mungu Amesema: “..na inamisha mabega yako kwa Waumini (yaani: wanyenyekee na uwahurumie).” [15:88].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Na lau ungelikuwa mkali, mwenye moyo mgumu, bila shaka wangelikukimbia.” [3:159].


Begin typing your search above and press return to search.