0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

870. Riyadhu Swalihina Mlango Wa kubisha hodi na adabu zake

باب الاستئذان وآدابه


وعن أَبي موسى الأشعري رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “الاستِئْذاُن ثَلاَثٌ، فَإِنْ أُذِنَ لَكَ وَإلاَّ فَارْجِع” متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



140. MLANGO WA KUBISHA HODI NA NIDHAMU ZAKE


Imepokewa na Abû Mûsâ al-Ash‘ary  (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Kubisha hodi ni mara tatu, utakaporuhusiwa (ingia), la si hivyo rudi.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.