0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

867. Riyadhu Swalihina Mlango Wauharamu wa sisi kuanza kuwaamkia Makafiri kutoa salamu, namna ya kuwarudishia salamu..

باب تحريم ابتداء الكافر بالسلام وكيفية الرد عليهم واستحباب السلام على أهل مجلسٍ فيهم مسلمون وكفار


وعن أنس ٍ رضي الله عنه قال: قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إذَا سَلَّمَ عَلَيكُم أهلُ الكِتَابِ فَقٍُولُوا: وعَلَيْكُمْ”    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



138. MLANGO WAUHARAMU WA SISI KUANZA KUWAAMKIA MAKAFIRI KUTOA SALAMU, NAMNA YA KUWARUDISHIA SALAMU, SUNNAH YA KUWAAMKIA WATU WALIOKETI AMBAPO MIONGONI MWAO MUNA WAISLAMU NA MAKAFIRI


Imepokewa na Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Mtakaposalimiwa na Ahlul-Kitâb (Mayahudi na Manasara), wajibuni: Wa ‘alaikum.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.