0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

865. Riyadhu Swalihina Mlango Wa mtu kumtolea salamu mkewe na mwanake ambae ni maharim yake, na ambae ni ajnabi asipochelea fitna….

باب سلام الرجل على زوجته والمرأة من محارمه وعلى أجنبية وأجنبيات لا يخاف الفتنة بهن وسلامهن بهذا الشرط


وعن أسماءَ بنتِ يزيدَ رضي الله عنها قالت: مَرّ عَلَيْنَا النّبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فِي نِسْوَةٍ فَسَلَّمَ عَلَيْنَا

رواه أَبُو داود، والترمذي وقال: حديث حسن، وهذا لفظ أَبي داود، ولفظ الترمذي: أنَّ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم مَرَّ في المْسْجِدِ يوْماً وعُصْبَةٌ مِنَ النِّسَاءِ قُعُود فَأَلْوَى بِيَدِهِ بالتَّسليمِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



137. MLANGO WA MTU KUMTOLEA SALAMU MKEWE NA MWANAMKE AMBAYE NI MAHARIMU YAKE, NA AMBAYE NI AJINABI ASIPOCHELEA FITNA YAO NA WAO (WANAWAKE) KUTOA SALAMU KWA SHARTI KAMA HII


Imepokewa na Asmâ binti Yazîd (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia kuwa: “Siku moja Mtume ﷺ alipita kwetu wanawake akatusalimia.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]

Hadîth hii ni lafdhi ya Abû Dâwûd, na lafdhi ya Tirmidhy imesema: “Siku moja Mtume ﷺ alipita Msikitini, na kulikuwa muna kundi la wanawake wameketi, akaashiria mkono wake kwa kutoa salamu.”


Begin typing your search above and press return to search.