0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

858. Riyadhu Swalihina Mlango Wa adabu za kutoa salamu

باب آداب السلام


 وعن أَبي أُمامة صُديِّ بن عجلان الباهِلِي رضي الله عنه قال: قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إنَّ أوْلىَ النِّاس باللهِ مَنْ بَدأهم بالسَّلاَم”.     رواه أَبُو داود بإسنادٍ جيدٍ

ورواه الترمذي عن أَبي أُمامةَ رضي الله عنهُ قِيلَ يارسولَ الله، الرَّجُلانِ يَلْتَقيان أيُّهُمَا يَبْدأُ بالسَّلامِ، قَالَ: “أوْلاهُمَا بالله تعالى

قال الترمذي: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



133. MLANGO WA ADABU ZA KUTOA SALAMU


Imepokewa Abû Umâmah, Sudayyi bin ‘Ajlân al-Bâhily (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Hakika aliye karibu zaidi na Allâh ni yule anayeanza kuwatolea watu salamu.”    [ Imepokewa na Abû Dâwûd kwa isnadi jayyid.

Vilevile Tirmidhy ameipokea kutoka kwa Abû Umâmah (Radhi za Allah ziwe juu yake): Mtume ﷺ aliulizwa: “Watu wawili wanapokutana ni yupi atakayeanza kutoa salamu?” Akajibu: “Ni yule aliye bora zaidi kwa Allâh.”    [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.