August 22, 2024
0 Comments
باب آداب السلام
عن أَبي هريرة رضي الله عنه أنَّ رسولَ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “يُسَلِّمُ الرَّاكبُ عَلَى الْمَاشِي، وَالْماشي عَلَي القَاعِدِ، والقليلُ عَلَى الكَثِيِرِ” متفقٌ عليه
“وفي رواية البخاري: “والصغيرُ عَلَى الْكَبِيرِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
133. MLANGO WA ADABU ZA KUTOA SALAMU
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Aliyepanda (kipando) amsalimie anayetembea, anayetembea amsalimie aliyeketi na wachache wawasalimie walio wengi.” [ Wameafikiana na Bukhari na Muislamu ].
Riwaya nyingine ya Bukhârî imesema: “…na mdogo amsalimie mkubwa.”