August 21, 2024
0 Comments
باب كيفية السلام
وعن الْمقْدَاد رضي الله عنه في حَدِيثه الطويل قَالَ: كُنَّا نَرْفَعُ للنَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم نَصِيبهُ مِنَ الَّلبَن فَيَجِيئُ مِنَ اللَّيلِ فَيُسَلِّمُ تسليما ً لايوقظُ نَائِماً وَيُسمِعُ اليَقَظان فَجَاء النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَسَلمَّ كَمَا كَانَ يُسَلمُ، رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
132. MLANGO WA NAMNA YA KUTOA SALAMU
Imepokewa na Al-Miqdâd (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia katika kisa chake kirefu, akasema: “Tukawa tukimpelekea Mtume ﷺ sehemu yake katika maziwa, naye akija usiku akitoa salamu ambayo haiwezi kumwamsha alielala, na aliye macho huisikia. Mtume ﷺ akaja akatoa salamu kama alivyokuwa akitoa.” [ Imepokewa na Muslim.]