0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

853. Riyadhu Swalihina Mlango Wa namna ya kutoa Salamu

 باب كيفية السلام


وعن أنسٍ رضي الله عنه أن النَّبيّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كَانَ إِذَا تَكَلَّمَ بِكَلمة أعَادهَا ثَلاثاً حتَّى تُفَهَم عَنْهُ، وَإِذَا أتَى عَلَى قوْم فَسَلَّمَ عَلَيهم سَلَّم عَلَيهم ثَلاثاَ،    رواه البخاري.

وهذا محمُولٌ عَلَى مَا إِذَا كَانَ الجَمْعُ كثيراَ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



132. MLANGO WA NAMNA YA KUTOA SALAMU


Imepokewa na ‘ Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) ameeleza: “Mtume ﷺ alikuwa anapolizungumza neno hulikariri mara tatu mpaka lifahamike, na anapowaendea watu akawatolea salamu, huwatolea salamu mara tatu.”   [ Imepokewa na Bukhârî.]


Begin typing your search above and press return to search.