0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

851. Riyadhu Swalihina Mlango Wa namna ya kutoa Salamu

 باب كيفية السلام


عن عِمران بن حصين رضي الله عنهما قَالَ: جاءَ رجُل إِلَى النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالَ: السَّلامُ عَلَيكُم، فَرَدَّ عَلَيْهِ ثُمَّ جَلَسَ، فَقَالَ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم:“عَشْرٌ”ثُمَّ جَاءَ آخَرُ فَقَالَ: السَّلامُ عَلَيكُم وَرَحْمَةُ اللهِ، فَرَدَّ عليهِ فَجَلَسَ، فَقَالَ:“عِشْرون”، ثُمَّ جَاءَ آخَرُ فَقَالَ: السَّلامُ عَلَيكُم وَرَحْمَةُ الله وَبَرَكَاتُهّ، فَرَدَّ عليهِ فَجَلَسَ، فَقَالَ:“ثَلاَثُونَ”.   رواه أَبُو داود والترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



132. MLANGO WA NAMNA YA KUTOA SALAMU


Imepokewa na ‘Imrân bin al-Husain (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtu mmoja alikuja kwa Mtume , akamwamkia: “Assalâmu ‘Alaikum.” (Mtume) akamrudishia, kisha mtu yule akaketi. Mtume akasema: “(Amepata thawabu) kumi.” Kisha akaja mtu mwingine, akasema: “Assalâmu ‘Alaikum warahmatullâhi.” Naye akamrudishia, yule mtu akaketi. Mtume ﷺ akasema: “(Amepata thawabu) ishirini.” Kisha akaja mtu mwingine, akasema: “Assalâmu ‘Alaikum warahmatullâhi wabarakâtuh.” Naye akamrudishia, yule mtu akaketi. Mtume ﷺ akasema: “(Amepata thawabu) thalathini.”     [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.