0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

849. Riyadhu Swalihina Mlango Wa fadhila ya kutoa Salamu na amri ya kuisambaza

 باب فضل السلام والأمر بإفشائه


وعن أَبي يوسف عبد الله بن سلام رضي الله عنه قالَ: سَمِعتُ رَسُولَ اللهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول “يَا أيُّهَا النّاسُ أفْشُوا السَّلام، وَأْطعِمُوا الطْعَامَ، وَصِلُوا الأْرحامَ، وَصَلُّوا والنَّاس نيامٌ، تَدْخُلوا الجُنَّة بِسَلاَم ”      رواه الترمذي وقال: حديث حسن صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



131. MLANGO: FADHILA YA KUTOA SALAMU NA AMRI YA KUISAMBAZA


Imepokewa na Abû Yûsuf, ‘Abdullâh bin Salâm (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: “Enyi watu, enezeni salamu, lisheni chakula, ungeni kizazi (undugu/uhusiano) na muswali (Swala za usiku) na watu wamelala, mtaingia Peponi kwa amani.”   [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.