0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

847. Riyadhu Swalihina Mlango Wa fadhila ya kutoa Salamu na amri ya kuisambaza

 باب فضل السلام والأمر بإفشائه


وعن أَبي عُمارة البراءِ بن عازبٍ رضي الله عنهما قَالَ: أمرنا رسولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِسَبعٍ: “بِعِيادَةِ الَمرِيضِ. وَاتِّباع الجَنائز، وَتشْميت العَاطس، ونصرِ الضَّعِيف، وَعَوْن المَظْلُومِ، وإفْشاءِ السَّلام، وإبرارِ المُقسِمِ “    متفقٌ عَلَيْهِ،

هَذَا لفظ إحدى روايات البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



131. MLANGO: FADHILA YA KUTOA SALAMU NA AMRI YA KUISAMBAZA


Imepokewa na Abû ‘Umârah, al-Barâ bin ‘Âzib  (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ ametuamrisha mambo saba: Kumzuru mgonjwa, kufwata jeneza, kumwombea dua aliepiga chafya, kumnusuru dhaifu, kumsaidia aliedhulumiwa, kueneza salamu na kumtendea alieapa jambo aliloliapia.” [ Wameafikiana  Bukhârî na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.