0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

845. Riyadhu Swalihina Mlango Wa fadhila ya kutoa Salamu na amri ya kuisambaza

 باب فضل السلام والأمر بإفشائه


 وعن عبد الله بن عمرو بن العاص رضي الله عنهما أنَّ رَجُلاً سَألَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أيُّ الإْسلام خَيْرٌ؟ قَالَ “تُطْعم الطَّعَامَ، وَتَقْرأُ السَّلام عَلَىَ مَنْ عَرِفَتَ وَمَنْ لَمْ تَعْرِفْ”.     مُتَّفَقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



131. MLANGO: FADHILA YA KUTOA SALAMU NA AMRI YA KUISAMBAZA


Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amehadithia kuwa mtu mmoja alimwuliza Mtume ﷺ: “Ni amali gani katika Uislamu ilio bora?” Akamjibu: “Ni kulisha chakula na kumtolea salamu unayemjua na usiemjua.”  [ Wameafikiana  Bukhârî na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.