0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

844. Riyadhu Swalihina Mlango Wa ndoto na yanayofungamana nayo

باب الرؤيا وَمَا يتعلق بها


وعن أَبي الأسقع واثِلةَ بن الأسقعِ رضي الله عنه قال: قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إنَّ مِنْ أعظَم الفَرى أنْ يَدَّعِي الرَّجُلُ إِلَى غَيْرِ أبِيه، أوْ يُري عَيْنهُ مَالم تَرَ، أوْ يقولَ عَلَى رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم مَا لَمْ يَقُلْ”    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



130. MLANGO WA NDOTO NA YANAYOFUNGAMANA NAYO


Imepokewa na Abul-asqa’, Wâthilah bin al-Asqa’ (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Hakika miongoni mwa uwongo na uzushi mkubwa, ni mtu kujinasibisha kwa asiyekuwa baba yake, au adai kuwa ameliona jambo ambalo hakuliona, au amzulie Mtume wa Allâh ﷺ jambo ambalo hakusema.”       [ Imepokea na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.