August 11, 2024
0 Comments
باب في آداب المجلس والجليس
وعن أَبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم “مَا مِنْ قَوْمٍ يَقومونَ منْ مَجْلسٍ لاَ يَذكُرُون الله تَعَالَى فِيهِ إِلاَّ قَاموا عَنْ مِثلِ جيفَةِ حِمَارٍ وكانَ لَهُمْ حَسْرَةً ” رواه أَبُو داود بإسنادٍ صحيح
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Watu wanaoinuka kutoka katika majilisi wakawa hawamtaji Allâh ndani yake, husimama wakiwa mfano wa mzoga wa punda, na watakuwa na majuto (Siku ya Qiyama).” [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh.]