0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

832. Riyadhu Swalihina Mlango Wa nidhamu za Majilisi na anaeketi

باب في آداب المجلس والجليس


وعن أَبي هريرة رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَنْ جَلَسَ في مَجْلس فَكثُرَ فيهِ لَغطُهُ فَقَالَ قَبْلَ أنْ يَقُومَ منْ مجلْسه ذَلِكَ: سبْحانَك اللَّهُمّ وبحَمْدكَ أشْهدُ أنْ لا إلهَ إِلاَّ أنْت أسْتغْفِركَ وَأتَوبُ إليْك: إلا غُفِرَ لَهُ ماَ كان َ في مَجْلِسِهِ ذلكَ”    رواه الترمذي وقال: حديث حسن صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Anayeketi katika majilisi, akakithirisha mazungumzo yasio na manufaa, akaomba kabla hajasimama katika majilisi yake hayo: Subhânakallâhumma wabihamdik, ash-hadu allâ-ilâha illâ anta astaghfiruka wa atûbu ilayk [Kutakasika ni Kwako Ewe Mola wetu, na himdi zote ni Zako, nashuhudia kuwa hakuna anayestahiki kuabudiwa kwa haki ila ni Wewe tu, nakuomba msamaha na natubia Kwako_,” atasamehewa yaliopitika katika majilisi yake hayo.”     [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.