باب في آداب المجلس والجليس
وعن عمرو بن شُعَيْب عن أبيهِ عن جَدِّهِ رضي الله عنه أنَّ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: “لايحَلُّ لِرَجُل أنْ يُفَرِّقَ بَيْنَ اثْنيْنِ إِلاَّ بإذْنِهِمَا” رواه أَبو داود، والترمذي وَقالَ: حديث حسن
“وفي رواية لأبي داود: “لايَجلِسُ بَيْنَ رَجُليْن إِلاَّ بإذْنِهمَا“
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI
Imepokewa na ‘Amru bin Shu‘aib amepokea kutoka kwa baba yake naye kwa babu yake (Radhi za Allah ziwe juu yake) kuwa Mtume ﷺ amesema: “Si halali kwa mtu kujipenyeza (kuketi) baina ya watu wawili ila kwa idhini yao.” [ Imepokea na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]
Riwaya nyingine ya Abû Dâwûd imesema: “Asiketi baina ya watu wawili ila kwa idhini yao.”