August 4, 2024
0 Comments
باب في آداب المجلس والجليس
وعن أبي هريرة رضي الله عنه أن رسول لله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذَا قاَم أحَدُكُمْ منْ مَجْلسٍ ثُمَّ رَجَعَ إلَيْهِ فَهُوَ أحَقُّ بِه “ رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: “Atakapoondoka mmoja wenu katika majilisi kisha akaparudia, basi yeye ana haki zaidi kwa majilisi hayo.” [ Imepokewa na Muslim.]