0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

821. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kujuzu (kufaa) kulala chali kwa kishogo na kuweka Mguu juu ya mwengine

باب جواز الاستلقاء عَلَى القفا ووضع إحدى الرِّجلين عَلَى الأخرى إِذَا لم يَخف انكشاف العورة وجواز القعود متربعاً ومحتبياً


وعن جابر بن سَمُرَة رضي الله عنه قَالَ: “كَانَ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إذَا صَلَّى الْفَجرَ تَرَبَّعَ في مَجْلِسِهِ حتَّى تَطْلُعَ الشَّمسُ حَسْنَاء”     حدِيث صحيح، رواه أَبُو داود وغيره بأسانيد صحيحةٍ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



128. MLANGO WA INAJUZU KULALA CHALI KWA KISHOGO NA KUUWEKA MGUU JUU YA MWENGINE ASIPOCHELEA KUFUNUKWA UCHI, NA KUFAA KUKETI MRABA NA KWA KUJIFUNGA NGUO


Imepokewa na Jâbir bin Samurah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ alikuwa anapomaliza kuswali alfajiri, huketi mraba katika kikao chake mpaka jua lichomoze likiwa jeupe.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd na wengineo, isnadi yake ni Sahîh ]


Begin typing your search above and press return to search.