باب آداب النَوم والاضْطِجَاع وَالقعُود والمَجلِس وَالجليس وَالرّؤيَا
عن الْبَراءِ بن عازبٍ رضيَ اللَّه عنهما قَالَ: قَالَ لي رَسُول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إذَا أَتَيْتَ مَضْجَعكَ فَتَوَضَّأْ وُضُوءَكَ لِلصَّلاةِ، ثُمَّ اضْطَجِعْ عَلى شِقِّكَ الأَيمَنِ، وَقُلْ..”وذَكَرَ نَحْوهُ، وفيه:”واجْعَلْهُنَّ آخِرَ مَا تَقول” متفقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
127. MLANGO WA ADABU ZA KULALA, KUJINYOOSHA, KUKETI, BARAZANI, MTU ALIYEKETI NAYE NA NDOTO
Imepokewa Al-Barâ bin ‘Âzib (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ aliniambia: “Unapoenda mahala pako pa kulala, tawadha udhu wa Swala, kisha ulale kwa ubavu wako wa kulia na useme: ….” akataja mfano wake (kama ilivyotangulia katika Hadîth kabla ya hii), “Maneno hayo yawe ndio ya mwisho utakayosema.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]