June 20, 2021
0 Comments
KINGA YA MUISLAMU
اللهم إني أسألك خيرها وخير ما جبلتها عليه وأعوذ بك من شرها وشر ما جبلتها عليه ، وإذا اشترى بعيراً فليأخذ بذروة سنامه وليقل مثل ذلك
أبو داود 2/248 وابن ماجه 1/617
[Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba kheri ya (mke) huyu na kheri ya maumbile uliyomuumba nayo na najilinda kwako na shari yake, na shari ya maumbile uliyomuumba nayo.]
Na akinunua mnyama atamshika kichwa chake na kisha atasome duaa hii.
[Imepokewa na Abuu Daud na Ibnu Maajah.]
SIKILIZA DUA HII HAPA