0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

797. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sifa Ya Urefu Wa Kanzu, Mkono (Wa Kanzu Kikoi Na Ncha Ya Kilemba Na Uharamu Wa Kuburuta Sehemu Katika Mavazi…

باب صفة طول القميص والكم والإزار وطرف العمامة وتحريم إسبال شيء من ذلك على سبيل الخيلاء وكراهته من غير خيلاء


وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه، قَالَ: بينما رَجُل يُصَلِّى مُسْبِلٌ إِزَارَه، قَالَ لَهُ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “اذهَب فَتَوضأْ“فَذهَب فَتَوضَّأَ، ثُمَّ جاءَ، فَقَالَ:“اذهبْ فَتَوضَّأْ”فَقَالَ له رجُلٌ: يا رسول اللَّه. مالكَ أَمرْتَهُ أَن يَتَوَضَّأَ ثُمَّ سَكَتَّ عَنْهُ؟ قَالَ:”إِنه كانَ يُصلِّى وهو مُسْبلٌ إِزارهُ، إِن اللَّه لاَ يقْبلُ صلاةَ رجُلٍ مُسبِلٍ “

رواه أَبُو داود بإِسنادٍ صحيح عَلَى شرط مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Alikuwepo mtu mmoja anaswali akiwa ameburuta kikoi chake. Mtume ﷺ akamwambia: “Nenda ukatawadhe.” Akaenda akatawadha. Kisha akarudi, akamwambia tena: “Nenda ukatawadhe.” Mtu mwingine akamwuliza Mtume ﷺ: “Yâ Rasûlallâh, mbona umemwamuru akatawadhe kisha ukamnyamazia?” Akamjibu: “Yeye alikuwa anaswali naye anaburuta kikoi chake, na hakika Allâh Haikubali Swala ya mtu anayeburuta (kikoi).”     [ Imepokewa na Abû Dâwûd ameipokea kwa isnadi Sahîh, kwa sharti ya Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.