0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

784. Riyadhu Swalihina Mlango Wa  Sunna Ya Kuvaa Nguo Nyeupe Na Kujuzu Kuvaa Nguo Nyekundu Kijani Manjano Na Nyeusi Na Inajuzu Nguo Ya Pamba,Kitani….

باب استحباب الثوب الأبيض، وجواز الأحمر والأخضر والأصفر والأسود، وجوازه من قطن وكتان وشعر وصوف وغيرها إِلاَّ الحرير


وعن أَبي سعيد عمرو بن حُرَيْثٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: كأنّي أنْظُرُ إِلَى رسول الله – صلى الله عليه وسلم – وعليه عِمَامَةٌ سَوْدَاءُ، قَدْ أرْخَى طَرَفَيْهَا بَيْنَ كَتِفَيْهِ.    رواه مسلم

وفي روايةٍ لَهُ: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – خَطَبَ النَّاسَ، وَعَلَيْهِ عِمَامَةٌ سَوْدَاءُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Sa‘îd, ‘Amru bin Huraith (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Kana kwamba (hivi sasa) namtazama Mtume ﷺ akiwa amevaa kilemba cheusi, na ameziteremsha ncha zake baina ya mabega yake.”   [ Imepokewa na Muslim.]

Riwaya yake nyingine imesema: “Mtume ﷺ aliwahutubia watu akiwa amevaa kilemba cheusi.”



Begin typing your search above and press return to search.