0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

783. Riyadhu Swalihina Mlango Wa  Sunna Ya Kuvaa Nguo Nyeupe Na Kujuzu Kuvaa Nguo Nyekundu Kijani Manjano Na Nyeusi Na Inajuzu Nguo Ya Pamba,Kitani….

باب استحباب الثوب الأبيض، وجواز الأحمر والأخضر والأصفر والأسود، وجوازه من قطن وكتان وشعر وصوف وغيرها إِلاَّ الحرير


وعن جابر – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – دَخَلَ يَوْمَ فَتْحِ مَكَّةَ وَعَلَيْهِ عِمَامَةٌ سَوْدَاء.    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa Mtume ﷺ aliingia Makkah siku ya Fat-hi Makkah (Ukombozi wa Makkah) akiwa amevaa kilemba cheusi.”   [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.