0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

77. MLANGO WA KUWA NA GHADHABU YANAPOCHAFULIWA MATAKATIFU YA ALLÂH, NA KUINUSURU DINI YA ALLÂH

باب الغضب إِذَا انتهكت حرمات الشّرع والانتصار لدين الله تعالى


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَمَنْ يُعَظِّمْ حُرُمَاتِ الله فَهُوَ خَيْرٌ لَهُ عِنْدَ رَبِّهِ﴾ [ الحج: 30 ]

وقال تَعَالَى: ﴿إنْ تَنْصُرُوْا اللهَ يَنْصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ﴾ [ محمد: 7 ]

وفي الباب حديث عائشة السابق في باب العفو


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



77. MLANGO WA KUWA NA GHADHABU YANAPOCHAFULIWA MATAKATIFU YA ALLÂH, NA KUINUSURU DINI YA ALLÂH


Mwenyezi Mungu Amesema: : “Na anayevitukuza vitakatifu vya Allâh basi hayo ndiyo kheri yake mbele ya Mola wake Mlezi.” [22:30].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Mkimnusuru Allâh Naye Atawanusuru na Ataithibitisha miguu yenu.” [47:7].

Katika mas-ala haya muna Hadîth ya ‘Âisha iliotangulia katika mlango wa kusamehe [Hadîth ya 643].


Begin typing your search above and press return to search.