0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

753. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunnah Ya Kula Kwa Vidole Vitat, Na Kuviramba Vidole Na Makruru Ya Kuvipangusa Kabla Ya Kuviramba…

باب استحباب الأكل بثلاث أصابع واستحباب لعق الأصابع، وكراهة مسحها قبل لعقها واستحباب لعق القصعة وأخذ اللقمة الَّتي تسقط منه وأكلها ومسحها بعد اللعق بالساعد والقدم وغيرها


وعن سعيد بنِ الحارث: أنّه سأل جابراً – رضي الله عنه – عنِ الوُضُوءِ مِمَّا مَسَّتِ النَّارُ، فَقَالَ: لا، قَدْ كُنَّا زَمَنَ النبيِّ – صلى الله عليه وسلم – لا نَجِدُ مِثْلَ ذَلِكَ الطَّعامِ إِلاَّ قليلاً، فإذا نَحْنُ وجَدْنَاهُ، لَمْ يَكُنْ لنا مَنَادِيلُ إِلاَّ أكُفَّنا، وسَواعِدَنَا، وأقْدامَنَا، ثُمَّ نُصَلِّي وَلاَ نَتَوَضَّأُ.     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Sa‘îd bin al-Hârith amesimulia kuwa alimwuliza  Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yao)  kuhusu kutawadha kwa kula chakula kilichopikwa na moto. Akajibu: “Si lazima. Tulikuwa katika zama za Mtume ﷺ hatupati chakula cha aina hiyo ila kwa uchache. Tunapokipata, hatukuwa na vitambaa ila (ni kufuta katika) viganja vyetu, vigasha vyetu na miguu yetu, kisha tukiswali wala hatutawadhi.”    [ Imepokewa na Bukhari ]


Begin typing your search above and press return to search.