0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

736. Riyadhu Swalihina Mlano wa Kutokitia aibu chakula na Sunnah ya kukisifu

باب لا يَعيبُ الطّعام واستحباب مَدحه


وعن جابر – رضي الله عنه -: أنَّ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم – سَأَلَ أهْلَهُ الأُدْمَ، فقالوا: مَا عِنْدَنَا إِلاَّ خَلٌّ، فَدَعَا بِهِ، فَجَعَلَ يَأكُلُ، ويقول: { نِعْمَ الأُدْمُ الخَلُّ، نِعْمَ الأُدْمُ الخَلُّ}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia kuwa, Mtume (ﷺ) aliwaomba ahali zake kitoweo, wakamwambia: “Tuna siki peke yake.” Akaitisha siki, akawa akila na akisema: “Kitoweo kizuri ni siki. Kitoweo kizuri ni siki.”    [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.