0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

729. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kupiga Bismillahi Mwanzo Na Kumuhimidi Mwisho.

باب التسمية في أوله والحمد في آخره


وعن جابرٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: سَمِعْتُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقولُ: { إِذَا دَخَلَ الرَّجُلُ بَيْتَهُ، فَذَكَرَ اللهَ تَعَالَى عِنْدَ دُخُولِهِ، وَعِنْدَ طَعَامِهِ، قَالَ الشَّيْطَانُ لأَصْحَابِهِ: لاَ مَبِيتَ لَكُمْ وَلاَ عَشَاءَ، وَإِذَا دَخَلَ فَلَمْ يَذْكُرِ اللهَ تَعَالَى عِنْدَ دُخُولِهِ، قَالَ الشَّيْطَانُ: أدْرَكْتُمُ المَبِيتَ؛ وَإِذَا لَمْ يَذْكُرِ اللهَ تَعَالَى عِنْدَ طَعَامِهِ، قَالَ: أدْرَكْتُم المَبيتَ وَالعَشَاءَ}      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume (ﷺ) akisema: “Mtu anapoingia nyumbani mwake, akamtaja Allâh wakati wa kuingia kwake na kula kwake, shetani huwaambia wenzake: “Hamna pa kulala wala chakula cha jioni.” Na atakapoingia wala asitaje Jina la Allâh wakati wa kuingia, shetani huwaambia wenziwe: “Mumepata pa kulala.” Na asipotaja Jina la Allâh wakati wa kula kwake, (shetani huwaambia wenziwe): “Mumepata pa kulala na chakula cha jioni.”   [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.