0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

728. Riyadhu Swalihina Mlango wa kupiga Bismillahi mwanzo na kumuhimidi mwisho.

باب التسمية في أوله والحمد في آخره


وعن عائشة – رضي الله عنها -، قالت: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {إِذَا أكَلَ أحَدُكُمْ فَلْيَذْكُرِ اسْمَ اللهِ تَعَالَى، فإنْ نَسِيَ أنْ يَذْكُرَ اسْمَ اللهِ تَعَالَى في أوَّلِهِ، فَلْيَقُلْ: بسم اللهِ أوَّلَهُ وَآخِرَهُ}   رواه أَبُو داود والترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume (ﷺ) amesema: “Atakapokula mmoja wenu, ataje Jina la Allâh Mtukufu, atakaposahau kutaja Jina la Allâh Mtukufu mwanzo wa kula kwake, basi  aseme: ‘Bismillâhi awwalahû wa âkhirahû’ [Kwa Jina la Allâh mwanzo na mwisho wake].”  [Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.