October 10, 2023
0 Comments
باب استحباب تقديم اليمين في كل مَا هو من باب التكريم
وعن عائشة – رضي الله عنها -، كَانَتْ يَدُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – اليُمْنَى لِطُهُورِهِ وَطَعَامِهِ، وَكَانَتِ الْيُسْرَى لِخَلائِهِ وَمَا كَانَ مِنْ أذَىً. حديث صحيح، رواه أَبُو داود وغيره بإسنادٍ صحيحٍ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa na Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mkono wa kulia wa Mtume (ﷺ) ulikuwa ni wa kutawadha na kula kwake, na mkono wake wa kushoto ulikuwa ni wa kwenda chooni na jambo linalohusiana na uchafu.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd na wengineo wameipokea kwa isnadi Sahîh.]