0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

692. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunnah ya kusema maneno Mazuri na kuwa na uso wa bashasha wakati wa kukutana na Mtu.

باب استحباب طيب الكلام وطلاقة الوَجه عند اللقاء


 وعن عدي بن حاتمٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {اتَّقُوا النَّارَ وَلَوْ بِشِقِّ تَمْرَةٍ فَمَنْ لَمْ يَجِدْ فَبِكَلِمَةٍ طَيِّبَةٍ}    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Adiyyi bin Hâtim (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume (ﷺ)  amesema: “Ogopeni moto japo ni kwa (kutoa) kipande cha tende. Asiepata, azungumze neno jema.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.