0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

665. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Wajibu Wa Kuwatii Wenye Madaraka Katika Jambo Ambalo Si La Kumuasi Allah Na Uharamu Wa Kuwatii Katika Maasia

 باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية وتحريم طاعتهم في المعصية


وعن أنسٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { اسْمَعُوا وأطِيعُوا، وَإنِ استُعْمِلَ عَلَيْكُمْ عَبْدٌ حَبَشيٌّ، كأنَّ رأْسَهُ زَبيبةٌ}    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume (ﷺ) amesema: “Sikilizeni na mtii, hata mkiekewa kiongozi ambaye ni mtumwa wa Kihabeshi mwenye nywele-koto.”     [ Imepokewa na Bukhârî.]

Begin typing your search above and press return to search.