0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

661. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Mtawala Muadilifu

باب الوالي العادل


وعن عِياضِ بن حِمارٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: سَمِعْتُ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: {أهلُ الجَنَّةِ ثَلاَثَةٌ: ذُو سُلطانٍ مُقْسِطٌ مُوَفَّقٌ، وَرَجُلٌ رَحيمٌ رَقِيقُ القَلْبِ لكُلِّ ذي قُرْبَى ومُسْلِمٍ، وعَفِيفٌ مُتَعَفِّفٌ ذو عِيالٍ}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Iyâdh bin Himâr (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimsikia Mtume (ﷺ) akisema: “Watu wa Peponi ni watatu: mwenye madaraka aliye mwadilifu alieafikiwa (na Allâh), mtu rahimu mpole wa moyo kwa kila jamaa na Muislamu na anayejizuwia kuomba mwenye watoto.” Muslim.  [ Imepokewa na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.