0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

660. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Mtawala Muadilifu

باب الوالي العادل


وعن عوفِ بن مَالِكٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: سَمِعْتُ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: { خِيَارُ أئِمَّتِكُمُ الَّذِينَ تُحِبُّونَهُمْ وَيُحِبُّونَكُمْ، وَتُصَلُّونَ عَلَيْهِمْ وَيُصَلُّونَ عَلَيْكُمْ. وشِرَارُ أئِمَّتِكُم الَّذِينَ تُبْغِضُونَهُمْ وَيُبْغِضُونَكُمْ، وَتَلعَنُونَهُمْ وَيَلْعَنُونَكُمْ !}، قَالَ: قُلْنَا: يَا رسول اللهِ، أفَلاَ نُنَابِذُهُم؟ قَالَ: { لاَ، مَا أقَامُوا فِيْكُمُ الصَّلاَةَ. لاَ، مَا أقَامُوا فِيكُمُ الصَّلاَةَ}     رواه مسلم.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Awf bin Mâlik (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimsikia Mtume (ﷺ)  akisema: “Wabora wenu ni viongozi wenu wanaowapenda na mnaowapenda, mnaowaombea dua nao wanaowaombea dua. Wabaya wenu ni viongozi wenu mnaowachukia na wanaowachukia, mnaowalaani na wanaowalaani!” Tukamwambia: “Yâ Rasûlallâh,, si tuwaasi?” Akasema: “Msiwaasi maadamu wanasimamisha Swala miongoni mwenu, msiwaasi maadamu wanasimamisha Swala miongoni mwenu.”   [ Imepokewa na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.