0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

656. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Maamrisho Kwa Watawala Kuwafanyia Upole Raia Zao, Kuwanasihi Na Kuwahurumia..

باب أمر وُلاة الأمور بالرفق برعاياهم ونصيحتهم والشفقة عليهم والنهي عن غشهم والتشديد عليهم وإهمال مصالحهم والغفلة عنهم وعن حوائجهم


وعن عائِذ بن عمرو – رضي الله عنه -: أَنَّهُ دَخَلَ عَلَى عُبَيْد اللهِ بن زيادٍ، فَقَالَ لَهُ: أيْ بُنَيَّ، إنِّي سَمِعْتُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: { إنَّ شَرَّ الرِّعَاءِ الحُطَمَةُ} فإيَاكَ أن تَكُونَ مِنْهُمْ.       متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Â-idh bin ‘Amri (Radhi za Allah ziwe juu yake ) aliingia kwa ‘Ubaidullâh bin Ziyâd, akamwambia: “Ewe mwanangu, hakika nilimsikia Mtume (ﷺ) akisema: “Hakika mchungaji mbaya ni mwenye moyo mgumu (anayedhulumu watu),” basi nakuhadharisha usiwe katika hao.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.