0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

647. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuvumilia Maudhi.

باب احتمال الأذى


وعن أَبي هريرة رضي الله تَعَالَى عنه: أنَّ رَجُلاً، قَالَ: يَا رسول الله، إنّ لي قَرَابةً أصِلُهم وَيَقْطَعُونِي، وَأُحْسِنُ إلَيْهِمْ وَيُسِيئُونَ إلَيَّ، وَأحْلُمُ عَنهم وَيَجْهَلُونَ عَلَيَّ ! فَقَالَ: { لَئِنْ كُنْتَ كَمَا قُلْتَ، فَكأنَّمَا تُسِفُّهُمُ الْمَلَّ، وَلاَ يَزَالُ مَعَكَ مِنَ اللهِ تَعَالَى ظَهيرٌ عَلَيْهِمْ مَا دُمْتَ عَلَى ذَلِكَ}     رواه مسلم

وقد سَبَقَ شَرْحُهُ في بَابِ صلة الأرحام


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtu mmoja alimweleza Mtume (ﷺ) : “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) kwa hakika nina jamaa, mimi huwa nikiwaunga nao wakinikata, nawafanyia hisani nao wanifanyia ubaya, nawafanyia upole nao hunifanyia ujinga!” Akamwambia: “Ukiwa ni kama ulivyosema, basi ni kanakwamba unawalisha jivu la moto, na utaendelea kuwa na msaidizi atokaye kwa Allâh maadamu unadumu katika hali hiyo.”  [ Imepokewa na Muslim].   

Sherehe yake imetangulia katika Mlango wa Kuunga kizazi.


Begin typing your search above and press return to search.