August 8, 2023
0 Comments
باب العفو والإعراض عن الجاهلين
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { لَيْسَ الشَّديدُ بِالصُّرَعَةِ، إنَّمَا الشَّدِيدُ الَّذِي يَمْلِكُ نَفْسَهُ عِنْدَ الْغَضَبِ} متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume (ﷺ) amesema: “Mwenye nguvu sio yule awashindae watu kwa miereka, bali mwenye nguvu ni anayemiliki nafsi yake wakati wa hasira.” [ Wameafikana Bukhari na Muslim].