0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

635. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Upole, Uangalifu Na Utulivu.

باب الحلم والأناة والرفق


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: بَال أعْرَابيٌّ في المسجدِ، فَقَامَ النَّاسُ إِلَيْهِ لِيَقَعُوا فِيهِ، فَقَالَ النبيُّ – صلى الله عليه وسلم -: { دَعُوهُ وَأرِيقُوا عَلَى بَوْلِهِ سَجْلاً مِنْ مَاءٍ، أَوْ ذَنُوباً مِنْ مَاءٍ، فَإنَّمَا بُعِثْتُمْ مُيَسِّرِينَ وَلَم تُبْعَثُوا مُعَسِّرِينَ}      رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mbedui mmoja alikojoa Msikitini, watu wakasimama kwenda kumkaripia. Mtume (ﷺ) akawaambia: “Mwacheni na mumimine ndoo ya maji juu ya mkojo wake. Hakika mumeletwa muwe ni wenye kusahilisha wala hamkuletwa kuweka mikazo.”     [ Imepokewa na Bukhârî.]


Begin typing your search above and press return to search.