August 3, 2023
0 Comments
باب حسن الخلق
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: سُئِلَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – عَنْ أكثرِ مَا يُدْخِلُ النَّاسَ الْجَنَّةَ؟ قَالَ: { تَقْوَى اللهِ وَحُسنُ الخُلُقِ}، وَسُئِلَ عَنْ أكْثَرِ مَا يُدْخِلُ النَّاسَ النَّارَ، فَقَالَ: { الفَمُ وَالفَرْجُ} رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ alulizwa kuhusu jambo ambalo aghlabu huwaingiza watu Peponi. Akajibu: “Ni kumcha Allâh na tabia njema.” Na akaulizwa kuhusu jambo ambalo aghlabu huwaingiza watu motoni. Akajibu: “Ni mdomo na uchi.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]