August 3, 2023
0 Comments
باب حسن الخلق
عن عبد الله بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما -، قَالَ: لَمْ يكن رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – فَاحِشاً وَلاَ مُتَفَحِّشاً، وكان يَقُولُ: { إنَّ مِنْ خِيَارِكُمْ أحْسَنَكُمْ أخْلاَقاً} متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ hakuwa ana tabia mbaya wala hakuwa mwenye kujilazimisha mabaya. Alikuwa akisema: “Hakika katika wabora wenu ni wenye tabia nzuri.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]