0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

620. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Tabia njema.

باب حسن الخلق


 وعن أنس – رضي الله عنه قال: كَانَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – أحْسَنَ النَّاس خُلُقاً.     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas  (Radhi za Allah ziwe juu yake) ameeleza: “Mtume alikuwa mwenye tabia nzuri kuwaliko watu wote.”    [Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.