July 9, 2023
0 Comments
باب الإيثار والمواساة
قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَيُؤْثِرُونَ عَلَى أنْفُسِهِمْ وَلَوْ كَانَ بِهِمْ خَصَاصَةٌ﴾ [ الحشر: 9 ]
وقال تَعَالَى: ﴿وَيُطْعِمُونَ الطَّعَامَ عَلَى حُبِّهِ مِسْكِيناً وَيَتِيماً وَأَسِيراً﴾ [ الدهر: 8 ]
شرح الحديث على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
62. MLANGO WA KUMTANGULIZA (MWENZIO) NA KUFARIJIANA
Mwenyezi Mungu Amesema: “..Na wanawapendelea kuliko nafsi zao ingawa wenyewe wana hali ndogo.” [59:9].
Mwenyezi Mungu Amesema: “Na huwalisha chakula masikini na mayatima na wafungwa, na hali yakuwa wenyewe wanakipenda (chakula hicho).” [76:8_ mpaka mwisho wa Aya zinazoeleza maswala haya.